Hii ni baadhi ya michezo utakayopata kwenye kompyuta binafsi. Tunaendelea kuongeza mingine, kwa hivyo angalia tena mara kwa mara ili uone michezo mipya.
Kwa kupakua Michezo ya Google Play kwenye kompyuta, unakubali Sheria na Masharti ya Google, Sheria na Masharti ya Google Play na kuthibitisha kuwa taarifa zako zitashughulikiwa kwa mujibu wa Sera ya Faragha ya Google.


























































